Showing posts with label Journalism. Show all posts
Showing posts with label Journalism. Show all posts

Thursday, June 17, 2010

From Amsterdam to Bamako

Documentary film on migration from Africa to Europe. The maker tries to take an African's perspective by reversing a migrant's journey traveling from Amsterdam to Bamako speaking with migrants he meets on the way.

'Tip' from Jadili Africa (Have you joined the group?).

Edit: You would understand why I 'bumped' this documentary film after watching it...

Tuesday, June 8, 2010

Tuzo za waandishi wa habari Afrika

Mwandishi wa habari kutoka Afrika Kusini, Sam Rogers , (Mtengenezaji wa Filamu za Factuals -- kitengo cha Uhalifu na Uchunguzi) ametunukiwa tuzo ya mwandishi bora mwaka 2010 kutokana na filamu yake "Curse of the Nobody People." Filamu ya Sam inazungumzia matatizo ya walemavu wa ngozi, Tanzania; ubaguzi na mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi.

Mtu mwingine aliyetunukiwa tuzo hii kwa mwaka 2009, ni John-Allan Namu, mwandishi wa habari wa KTN, ambaye aliaandaa filamu inayoitwa "In the Shadow of the Mungiki." Wasilikilize walikuwa na yapi ya kusema (kwa kifupi):


Matatizo wanayoyazungumzia sio mapya masikioni mwetu. Nimeperuzi haraka haraka na nimevutiwa na kazi zao. Nadhani unaweza ukazipata kazi za John-Allan kwa urahisi youtube. Nitajaribu kutafuta filamu zao zenye ubora unaokubalika na kuziweka hapa Vijana FM ili tujifunze mawili matatu.

Saturday, June 5, 2010

Tovuti ya Wahapahapa Na Sanaa..



Leo hii sanaa bado haijapewa heshima na kipaumbele kama inavyotakiwa, pamoja na sanaa kuwa kioo cha jamii. Tovuti na blog zimeanza kumea kama uyoga, lakini chache zimekuwa zikitetea nafasi ya sanaa katika jamii na haki na umuhimu wa wasanii ndani ya jamii.

Wahapahapa ni moja ya tovuti ninazoweza kusema zimejikita katika sanaa, siyo kuishia kuzungumzia sanaa tu. Kitu kilichonifurahisha na tovuti ya wahapahapa, ni kuwa wameweka michezo ya kuigiza ya redio katika tovuti yao. Hii inawapa fursa hata walio mbali kufaidi sanaa hii kongwe iliyopewa kisogo kutokana na ukuaji wa utandawazi. Nadhani kizazi cha enzi zile tunaweza kukumbuka ile michezo ya akina marehemu Pwagu na Pwaguzi katika redio ya Taifa, RTD.

Tembelea tovuti hii ya Wahapahapa na sikiliza michezo hiyo ya kuigiza na pia kujisomea mambo mengi mengineo ya kuelimisha kupitia sanaa.

Tuesday, May 25, 2010

Grant opportunity for African journalists

Announcment courtesy of NGOpulse.org:

FAIR Small Grant Guidelines for African Investigative Journalists

Opportunity type: Grants

Opportunity closing date: Saturday, July 31, 2010

The Forum for African Investigative Reporters (FAIR) is offering investigative journalists the opportunity to apply for a grant that intends to help further their research on a particular investigative story of their choice. Two grants of up to €3 000 each and eight smaller grants with a value of €500 each, are funded by Freevoice, and are intended to be used by a journalist for an investigative story that would not otherwise be published.

Application Information


Applications are open to all investigative journalists based, working, and operating in Africa. Applications must be accompanied by a 1 page summary in English, French, or Portuguese. The summary is of extreme importance since the initial shortlist of 20 applications will be compiled on their basis and only the applications that make the shortlist will be considered in full.

The application must contain the following:

  • Subject;
  • Envisaged methodology (source-building, data to access, testing of obtained info in order to reach conclusion);
  • Reason why this subject was chosen;
  • Media house that has undertaken to publish (the acceptance letter from the editor is to be attached);
  • A paragraph about earlier publications by the journalist; and
  • Budget (expenses only).

If an investigation topic is of such a sensitive nature that the applicant does not want the topic to be known to others, he/she should state this in the application. In this event, the applicant and the advisory council will come to an agreement on a suitably neutral/general description of the nature of the investigation, which description will be used when the award is announced.

The applications must be sent by email or fax - preferably along with a hard copy, to the contact details below.

Submission deadline: 31 July 2010

For more information or to submit entries, click here.