Friday, June 4, 2010

Ziwa Viktoria - Mgongowazi

Na Lars Johansson (with English subtittles)

Ufuatao ni mkusanyiko wa filamu fupi kadhaa wa mambo yanayotokea kwenye vijiji vilivyopo karibu na Ziwa Viktoria. Mradi huu uliofanywa mwaka 2004 ni wa Maweni Farm na IOGT.


1 comment:

  1. Many congratulations to the ppl who took part in this project. Very touching stories...

    Sitakuja kusahau ile ya chang'aa Kisumu. Watu wamechoka na maisha. Yaani mlevi ameanguka barabarani lkn watu wanaona kama kawa tu. Dah, chang'aa inavyotengenezwa...

    ReplyDelete