Thursday, June 10, 2010

"Thula Mama"

South African singer-songwriter Vusi Mahlasela dedicates his song, "Thula Mama," to all women -- and especially his grandmother.

This is one of the finest uplifting tunes I have ever heard. Trust me, it's not just a hype.



Na napenda kuchukua nafasi hii kudediket huu wimbo kwa mama yangu, Ubungo Kibangu na bibi yangu, kijijini Kihurio (Same). Bila kusahau mama zetu wote waliotulea, kutuasa, kutusaidia na kuwepo karibu yetu kila tulipowahitaji/tunapowahitaji.

Shukrani kwa ushujaa, ushupavu na mioyo yao migumu iliyotuambukiza maarifa, kujiamini na kutupa busara kwenye maisha yetu ya ujana. Tungekuwa wapi leo hii bila nyinyi?

Nawatakia siku njema!

2 comments: