Friday, June 4, 2010

Love in the time of Aids

Na Lars Johansson (with English subtittles)

Hii ni hadithi kutoka kwenye kambi ya wakimbizi Kanembwa, Tanzania. Katika filamu hii, Noe Sebisaba anaeleza jinsi alivyojitokeza na kuuambia umma kuwa ana Virusi vya Ukimwi.


3 comments:

  1. Nimeguswa mno na Baranyikwa Dismas -- nadhani 'ameokoa' maisha ya watu wengi kwa ujasiri wake wa kutaka kuelimisha. Sisi wenye elimu zetu na maisha mazuri tunajisikiaje tunapojiangalia kwenye vioo?

    Mtu hachagui pa kuzaliwa.

    ReplyDelete
  2. nimejifunza kitu kwakuangalia hii ubarikiwe uliye turushia hii habari safi sana japo inahuzunisha

    ReplyDelete
  3. Bila shukrani. Ni kutekeleza wajibu...

    ReplyDelete