Friday, June 4, 2010

Mimba

na Lars Johansson (with English subtittles)

Kama mjuavyo, idadi ya vifo vya watoto wachanga nyumbani kwetu ni kubwa mno. Filamu hii inajaribu kuchunguza sababu za haya matukio -- kutoka wilaya za Lushoto, Moshi na Serengeti.


2 comments:

  1. Kikwete should be ashamed! ananunua ma bmw mapya ikulu na kuachia pesa zinaibiwa kweupe huku akina mama wanakufa bila sababu.
    Our president is a con artist in a suit

    ReplyDelete
  2. Kliniki yenye usafiri wa "kutosha" ina ambulances TATU. Jamani!

    ReplyDelete