Tuesday, May 18, 2010

Welcome to *Badilisha Poetry X-Change.Badilisha is a project of the Africa Centre, which promotes Pan-African poets through: Badilisha Poetry Radio, the only poetry podcasting platform dedicated exclusively to the voices of Africa and its Diaspora; and Badilisha Live which hosts two annual poetry events that include performance, workshops and lectures in Cape Town, South Africa.Badilisha ni mpango wa kituo cha Afrika, kinachosaidia washairi wa Pan-African kupitia: Radio ya Washairi, jukwaa pekee linalojikita kwenye kupaza sauti za washairi kutoka Afrika na wale WaAfrika waishio nje ya bara la Afrika. Badilisha Live huandaa tamasha la ushairi mara mbili kwa mwaka, kukiwa na utambaji, warsha na mihadhara huko Cape Town, Afrika ya Kusini.

Mpango huu unazidi onyesha ni jinsi gani tunavyoweza kutumia majukwaa mbalimbali kuwasilisha matatizo yetu na kujadili masuala yanayojiri katika jamii zetu. Hii ni changamoto kwa sisi vijana, kwani kama sisi ni asilimia sitini ya watu wote Afrika, lakini kundi letu pamoja na kundi la wanawake, ni makundi makuu mawili yaliyosahaulika, hivyo kuna haja ya lazima kutafuta mbinu mbadala za kutetea haki zetu na kuhakikisha sauti zetu zinasikika.

No comments:

Post a Comment