Saturday, May 8, 2010

Mapenzi

Anaitwa Loise van Baarle, mchoraji chipukizi kutoka Uholanzi. Hapa chini waweza tazama moja ya kazi zake, katuni fupi kuhusu mapenzi katika kijiji cha Tanzania.


tanzanian love story from Lois van Baarle on Vimeo.

Kwa zaidi, mtembelee hapa : http://loish.net/

3 comments:

 1. Mara ya kwanza kuiona video hii nilitamani nizione na nyingine nyingi za hivi.
  Sijui wabunifu wetu hawapati motisha ya kutosha?
  Hawa wanafaa sana kutengeneza katuni zinazoifaa jamii yetu.

  ReplyDelete
 2. Nimeangalia Rangi nimeangalia Rangi kuangalia Kwa kawaida huwa sipendi kuangalia video kama hizi lakini Hii imenivutia sana.

  ReplyDelete
 3. Mzee, shukrani kwa hii clip!!! Imenipa motisha tosha ya kuendelea kuandika na mambo kama haya lazima yatakuwepo kwenye "Kelele za Ukimya".

  PS: Karibuni dada zangu -- Subi ni mwenyeji hapa nadhani. Yasinta unakaribishwa.

  ReplyDelete