Tuesday, May 25, 2010

Brazil wanakuja kukiputa na Taifa Stars!

Brazil are to play friendly matches against Tanzania and Zimbabwe before heading into the World Cup in South Africa

The games are to be formally announced when all the required documents have been sent by the respective football federations. Read more...

Kwa wale ambao bado walikuwa wanadhani habari zilikuwa danganya toto, bofya hapa!

* * *

Sasa, hawa Brazil ndio watatutambua sisi ni nani!! Tukicheza kwa nguvu zetu zote, tutafungwa 5 - 0 tu. Bring it ooooooooonnnnn!

8 comments:

 1. You know this could be a defining moment for the Stars. But you guy, Brazil is a silky team man... they leave their corruption OFF the pitch. Can we say the same for our guys?

  ReplyDelete
 2. I hope the boys see it that way!

  Kwa upande mwingine, vipi kuhusu utalii. Tafadhali, wahusika (nawanyooshea vidole watu wa Wizara ya Utalii) mtumie hii fursa ipasavyo. Brazil itakuja na wanahabari kutoka kila kona ya dunia.

  ReplyDelete
 3. hapa kufungwa tutafungwa tu kama wachezaji wenyewe ndiyo kina Ngassa. Why is Ngassa in Taifa Stars?

  ReplyDelete
 4. Huwezi jua, mzee. Mpira unadunda...

  Watu wa TFF itabidi wawape mabeki wetu semina kabla ya mechi:

  "Najua vijana mna usongo sana. Ila aste aste jamani... Msimumiize Kaka. Eto'o alitulia kwasababu ni Mbantu mwenzetu. Lkn hawa jamaa wanaweza wakaanzisha vita tukiwaumiza wachezaji wao!"

  ReplyDelete
 5. aisee tusije fanyiwa kitu kama Wigan walivyomaliza msimu, maana hawa jamaa ni soo katika soka sababu mpira uko kwenye DAMU wakati siye tunatoka puliza bangi ili tupate simu za kuingia uwanjani.

  yalabi toba Mungu ibariki Tanzania isitolewe kafara na wachawi wa soka dunia..

  kwa upande wa Utalii ushaanza kuingia muda kidogo ila ndio kama unavyofahamu tatizo la inchi yetu lazima nipone mimi kwanza alafu wengine ndio wanafuata na sijui kama kwa style hii tutafika..

  Asante.

  ReplyDelete
 6. kwa bahati mbaya nimepata habari kwamba Brazil wamekwishatua South Africa imekuwa inchi ya pili baada ya Australia kutia maguu jana usiku, sasa kuna safari ya kuja Bongo kweli kukiputa na Taifa Stars?? au zilikuwa propaganda tu(sio mzee FID Q).

  ReplyDelete
 7. Dah, nimeona hiyo kitu. Lakini bado BBC wanadai jamaa watakuja Bongo... tusubiri. Lakini kama likiwa changa la macho, dah, tutaandamana.

  Mpweke, unakaribishwa Vijana FM kwa moyo mkunjufu!

  ReplyDelete
 8. jamani msiwe na tabu, unaweza ukakuta taifa star wanafanya suprise wakamchapa brazili mbili mtungi, wakawasambalatisha hao brzl wenyewe msimuone kaka wala dada.
  by:mgodoka

  ReplyDelete