Saturday, May 29, 2010

TANZANIA

(C) K Bomani
Source: TEDxDar facebook page

7 comments:

 1. 70 percent of Tanzania's population is under 30 years old.

  Come on now, where does the media need to be broadcasting and listening?

  ReplyDelete
 2. Surprising, shocking? Sad? I am not quite sure... We just have to take matters into our own hands.

  "Pay no mind to the youths,
  Cause it's not like the future depends on it.."
  Damian Marley

  The green one has a loooot of shocking statistics!

  ReplyDelete
 3. yaani we acha tu...yaani Tanzania(42mil popl) tunawazidi China(1.2bil popl) kwa HIV/AIDS victims...I mean seriously...au kuna wasichana wa sub-saharan ni WAZURI kupindukia...

  Me personally naomba mungu anisaidie na kuniongoza kwenye juhudi zangu..walau hiyo 14% iwe 50% in my lifetime...

  ReplyDelete
 4. Mmeona 172 USD? 7% (Zenji)? 61% no access to clean water? Dah, nadhani nitataja zote...

  (off to bed)

  ReplyDelete
 5. "Can we pretend that airplanes
  In the night sky
  Are like shooting stars
  I could really use a wish right now."

  B.O.B - Airplanes

  ReplyDelete
 6. Hizi statistics ni za ukweli? Hasa kuhusu 58% under a dollar a day.

  ReplyDelete
 7. Ujue ni ngumu sana kutafsiri takwimu. Wengi wetu tutaziangalia na kuzipinga au kuzikataa kabisa. Lakini kulikuwa na sensa miaka ya hivi karibuni. Pia, binafsi naamini haziwezi kuwa 'far off' - angalau kuna ile "trend" sahihi. Hasi au chanya? Inategemea unaziangaliaje.

  Kuhusu 58% under a dollar a day, huwa tunajaribu kuwakumbusha wanaotuletea hizi takwimu kuwa wanatulinganisha na nchi za Magharibi. Ile mihogo ya kule Kilwa haiwezi kugharimu zaidi ya sh. 500. Maharage anayokula mtu mmoja kule Mbeya hayawezi kuzidi sh 500 kwa siku...

  Itakuwa vizuri watu wa TEDxDar wakitupa maelezo zaidi (kuhusu upatikanaji wa hizi takwimu).

  ReplyDelete