Jumapili iliyopita lile
tamasha la kuhamasisha Vijana wa Kenya (hasa wa Kibera, Nairobi) kufuatilia mabadiliko ya katiba lilifanyika. Na ifuatayo ni taarifa kutoka NTVKenya:
Napenda kuwapongeza waandaji na wasanii waliojitolea kutumbuiza kwenye tamasha. Ni mfano wa kuigwa.
No comments:
Post a Comment