tag:blogger.com,1999:blog-2653305789535496384.post8030754667393886254..comments2024-02-19T00:19:54.560-08:00Comments on Vijana FM: Kimya chenye mshindo mkuuVijana FM (admin)http://www.blogger.com/profile/03776012696907867956noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-2653305789535496384.post-32142274303959571732010-05-29T15:12:10.682-07:002010-05-29T15:12:10.682-07:00Hongera sana dada Nakaaya kwa kujikita katika Sias...Hongera sana dada Nakaaya kwa kujikita katika Siasa ila mziki ndio kwaheri tena au utakuwa 'maltipapasi'?? natumaini tutaona mabadiliko katika Inchi yetu ukizingatia wewe ni kijana na wafahamu nini kifanyike ili tuweze kuitoa inchi yetu katika janga tuliokuwa nalo kwa sasa.

nafikiri huu ni mwendelezo mzuri kwa vijana kujikita katika vyama fulani kutoka na sera zao kwa maendeleo ya inchi kwa ujumla na sio kwa manufaa yao kama viongozi wengi.

Naamini vijana wengine watajitokeza na kujikita katika siasa maana tunahitaji vijana ambao wataleta maendeleo katika inchi na sio kukaa/kuendelea na wazee tu, sio kama wagombea wazee siwataki la hasha busara zao,ukongwe na ushauri utaitajika kwa wagombea vijana ili ''libeneke'' liweze kwenda sawa.

Nakutakia safari njema katika uwanja wa siasa dada Nakaaya na Mungu akubariki.

Asante.Mpwekenoreply@blogger.com