tag:blogger.com,1999:blog-2653305789535496384.post5576512375788358653..comments2024-02-19T00:19:54.560-08:00Comments on Vijana FM: Tanzania ni Nchi ya WapoleVijana FM (admin)http://www.blogger.com/profile/03776012696907867956noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-2653305789535496384.post-64132597813586699812010-05-26T04:57:10.191-07:002010-05-26T04:57:10.191-07:00Nimekusoma Joji, na sasa naweza kuchangia :)
Nil...Nimekusoma Joji, na sasa naweza kuchangia :)

Nilikuwa naogopa kutoa mawazo yangu kwasababu wengine wanahusisha upole na ukarimu na mambo kama hayo. Ambayo nadhani tunapaswa kuyaendeleza kama sehemu ya desturi yetu. Pia, kwasababu waandishi wengi hupenda kurahisisha mambo na ku-generalize. Kwasababu, ulivyosema Watanzania wapole, nikaanza kujiuliza: Mbona watu wanachomwa moto mitaani? Mbona wapokeaji rushwa wanaokandamiza watu wa tabaka la chini bado wanaendelea?

Nakubaliana na wewe na nisingependa kurudia kwasababu umeelezea vizuri mno! Kwa kuongezea mfano tu, nadhani umekutana na watu ambao kwenye ile mijadala moto moto, wanategemea Watanzania watakubali tu kwa kusema "YES". Na hapo ndipo hatari ya mtu (kutoka nchi nyingine) anadhani amepata mwanya "to walk-over you." Hata kama mtu ana maoni anaamua kunyamaza.

Binafsi hili suala linanipa hasira kusema ukweli! Juzi juzi nilienda kwenye semina ya kufanya midahala na conflict management. Nilidhani najua mengi... Nikipata muda nitaandika makala hapa Vijana FM.

Kuna suala jingine ambalo linahusiana na hili ambalo ni ujuzi wa kuwasiliana. Haya matatizo kama yanarandana kwa kiasi fulani. Na nadhani chanzo ni watoto kutokupewa nafasi wakati wanakua (kufundishwa kujieleza n.k.).SNhttps://www.blogger.com/profile/09052751960069005719noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2653305789535496384.post-53810230522432152032010-05-26T04:29:05.155-07:002010-05-26T04:29:05.155-07:00@anon 2:36.
Hapa 'Upole' nimejaribu kuuhu...@anon 2:36.

Hapa 'Upole' nimejaribu kuuhusisha na dhana ya / desturi ya kuwa 'submissive' kuanzia utotoni na mpaka ukubwani. Wengi wetu hata kama tumelelewa na mila hii ya kuwa submissive, kadili tukuavyo tunapata elimu ya kujua jinsi ya kupigania chetu, na hivyo kujifunza umuhimu wa aggressiveness ukubwani. Ila hii si kwa wote.

Embu niambie, ukiwa unaongea na mkubwa wako, ni kawaida kumuangalia machoni (eye contact)? Sehemu nyingine mtoto ukimsalimia mkubwa ukimtazama machoni ni kama unavunja protokol. Mimi sikujua umuhimu wa eye contact kwenye mawasiliano ya face-to-face mpaka nilivyoanza kujumuika na watu wa nchi nyingine - hii ni mimi.

Kama ulivyoeleza, mtu anaweza kuwa mpole lakini akawa anajua yepi ya kusema kwa wakati upi. Na binafsi ninapenda watu wa aina hii. Ila sifa ya 'upole' tulionao watanzania wengi si ya kujivunia. Hali hii inawafanya watu wasiwe na motisha kuuliza maswali kwa wenye mamlaka, MBELE YAO. Mara kwa mara utakuta wanalalamika au wanaeleza vikwazo vyao nyuma ya pazia, majumbani ila wakipewa kipaza cha sauti, kimya! Unless suala liwe linamuathiri yeye binafsi.

Kumbuka skendo ya EPA. Iligundulika tu, watu makelele meengi. Lakini uliza sasa ni wangapi wanajua matokeo ya kesi hiyo. Unadhani viongozi wangalikuwa wanaogopa kitimoto cha wananchi wangetoa amri ya kuwasamehe wezi wa fedha za EPA pindi wakizirudisha?

Kwanini watanzania tusijulikane kuwa tu watu aggressive? Aggressive without arrogance that is. Ninaamini kuna underlying factors za kisaikolojia ambazo haziko wazi ambazo zinatufanye tuwe nyuma kimaendeleo kutokana na malezi. Labda mwanasaikolojia anaweza kutupa hint. Achilia mbali historia ya nchi, uchumi wa dunia, n.kJojihttps://www.blogger.com/profile/10774720429045590797noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2653305789535496384.post-75759324349491964872010-05-26T02:36:09.754-07:002010-05-26T02:36:09.754-07:00Bata, huyo rafiki yako hajasikia kisago alichopewa...Bata, huyo rafiki yako hajasikia kisago alichopewa TID? Labda malezi ya Mamtoni yanambadilisha Hasheem..for the better!

Serious stuff:

Sasa, mimi nina swali la msingi kidogo -- kabla sijachangia. Upole ni nini? Kwasababu naamini mtu anaweza kuwa mpole lakini akawa ana tabia ya kuuliza maswali na kutaka kujua nini kinachoendelea (bila ya kuwa "mkorofi"); kama mwandishi alivyosema, kwanini natakiwa nifanye hivi. Au "mwalimu/baba, nadhani umekosea hapo."

Au mwandishi anazungumzia ile hulka ya 'presence'? Kwa mfano, Obama (sio huyu Rais, nazungumzia yule aliyekuwa bado mwanafunzi) nadhani ni mpole, lakini akiingia kwenye kadamnasi ya watu kila mtu atajua jamaa yupo!

Au nachanganya mambo? Nadhani naliangalia hili suala kwa jicho la tatu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2653305789535496384.post-89572469980523896832010-05-26T02:21:03.656-07:002010-05-26T02:21:03.656-07:00Ni kweli, mawasiliano darasani kati ya mwanafunzi ...Ni kweli, mawasiliano darasani kati ya mwanafunzi na mwalimu ni kama hayapo. Mwalimu haulizwi swali.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2653305789535496384.post-60006241740974625202010-05-26T01:27:36.488-07:002010-05-26T01:27:36.488-07:00hehehehe....kuna rafiki yangu alikuwa anasema ukim...hehehehe....kuna rafiki yangu alikuwa anasema ukimuangalia hasheem thabeet pia ni mpole. He's as aggresive as other centers in the NBA. Watanzania kweli wapole sisi ndio maana wanyonge.

Hii pia inaenda hata kwenye elimu. Walimu watakufukuza na kukupa adhabu ukisema "Mwalimu hapo umekosea". Our mentally is to obey and listen to authority (elders,teachers,leaders) without questions.Period.

I'm BIG, you are SMALL. I'm RIGHT, you are WRONG.Batahttps://www.blogger.com/profile/17092690776975529539noreply@blogger.com